Wateja
0
Orodha ya Wateja
Oda za Leo
0
zimeagizwa
Zinasubiri
0
hazijawakilishwa
Mapato Ya Leo
0
TZS
๐ŸŒ… LEO โ€” Oda za Leo
โ˜€๏ธ Safari za Asubuhi
9:00 AM โ€“ 12:00 PM ยท Saa 3:00 Asubuhi โ€“ Saa 6:00 Mchana
Hakuna oda za asubuhi
๐ŸŒ† Safari za Mchana
2:00 PM โ€“ 5:00 PM ยท Saa 8:00 Mchana โ€“ Saa 11:00 Jioni
Hakuna oda za mchana
๐Ÿ“‹ KESHO โ€” Oda za Kesho
0
Hakuna oda za kesho bado
๐Ÿ”ฎ ZIJAZO โ€” Oda Zijazo
0
Hakuna oda zijazo
๐Ÿ›ก๏ธ Sera ya Kulinda Madereva
Mazungumzo ya mapunguzo ya bei ni kati ya Mteja na ZanSupply peke yake. Mapato ya dereva yanalindwa daima na hayabadiliki โ€” 75% ya kila safari inakwenda kwa dereva kabla ya punguzo lolote.
J
P
I
T
A
S
S
๐Ÿ“Š MUHTASARI WA LEO
Safari za Asubuhi0
Safari za Mchana0
Zilizotolewa0
Mapato ZS0 TZS
๐Ÿจ Wateja
๐Ÿจ
Hakuna Wateja Bado. Ongeza hoteli, guesthouse, mkahawa au duka.
๐Ÿ“ฆ Oda Zote
๐Ÿ“ฆ
Bado hakuna oda
๐Ÿš Oda Mpya
Omba usafiri wa bidhaa zako
๐Ÿ“‹ Oda Mpya ya Usafiri
๐Ÿ“‹ Maombi ya Hivi Karibuni
๐Ÿ“‹
Bado hakuna oda
๐Ÿš— Madereva
๐Ÿš—
Bado hakuna madereva. Ongeza hadi madereva 5.
๐Ÿงฎ Kikokotoo cha Bili
๐Ÿ“‹ Sera ya ZanSupply
Mazungumzo ya mapunguzo ya bei ni kati ya Mteja na ZanSupply peke yake. Mapato ya dereva yanalindwa daima โ€” 75% ya kila safari inakwenda kwa dereva kabla ya punguzo lolote.
๐Ÿ“– JINSI YA KUTUMIA HII APP
๐Ÿ  Dashibodi
Ukurasa wa nyumbani. Unaonyesha wateja wote, oda za leo, zinazosubiri kupelekwa, na mapato ya leo. Safari za Asubuhi (9:00 AMโ€“12:00 PM ยท Saa 3:00 Asubuhiโ€“Saa 6:00 Mchana) na Mchana (2:00 PMโ€“5:00 PM ยท Saa 8:00 Mchanaโ€“Saa 11:00 Jioni) zimeonyeshwa wazi. Tumia ODA MPYA HARAKA kuunda oda haraka bila kwenda mbali.
๐Ÿš Oda Mpya
Biashara au mteja anajaza fomu hii kuomba usafiri wa mzigo. Jaza: mteja, tarehe, wakati, mahali pa kuchukua, eneo la kupeleka, maelezo ya mzigo, na mawasiliano. Oda inaingia moja kwa moja kwenye list ya Oda Zote na inasubiri uthibitisho wa Dispacha.
๐Ÿจ Wateja
Ongeza na simamia biashara zote โ€” hoteli, guesthouse, mikahawa, na maduka. Bonyeza + Mteja โ€” jaza jina, eneo la Zanzibar, na umbali kutoka Stone Town (KM). Kikokotoo kitatumia umbali huu kuhesabu bili. Unaweza kuongeza wateja wote unaohitaji.
๐Ÿ“ฆ Oda Zote
Kumbukumbu Zote Za Oda โ€” za sasa na zilizopita. Bonyeza + Oda Mpya โ€” chagua mteja, jaza maelezo ya mzigo, safari (Asubuhi/Mchana), tarehe, bili, na dereva. Oda ikamilika โ€” bonyeza Imeishapelekwa. Mapato ya dereva (75%) na ZanSupply (25%) yanakokotolewa kiotomatiki.
๐Ÿ“… Kalenda
Kalenda ya mwezi mzima. Siku zenye oda zinaonyeshwa kwa rangi. Bonyeza siku yoyote kuona safari zake za Asubuhi na Mchana. Tumia kalenda kupanga ratiba ya mwezi wote mapema.
๐Ÿงฎ Kikokotoo cha Bili
Hesabu bili ya safari kwa umbali (KM). Chagua mteja โ€” umbali wake unajazwa kiotomatiki. Matokeo yanaonyesha: Bili ya Jumla, Dereva Anapata (75%), na ZanSupply Inapata (25%). Tumia matokeo haya kuunda oda sahihi.
โš™๏ธ Mipangilio
Pakua Nakala โ€” Ipe jina faili lako, hifadhi kwenye simu au kompyuta yako. Rejesha Nakala โ€” chagua faili uliloihifadhi. Hifadhi nakala kila wiki. Usifute kumbukumbu za browser bila nakala โ€” wateja, oda, na madereva vitapotea kabisa.
๐Ÿ›ก๏ธ Sera ya Wateja na Madereva
SAA ZA KAZI: Wateja na biashara zote za ZanSupply hazistahili kuingia mahusiano ya kitaaluma ya moja kwa moja na madereva wa ZanSupply wakati wa saa za kazi. Usafiri wote rasmi unapita kupitia mfumo wa ZanSupply โ€” si kwa dereva binafsi. ZanSupply ndiyo inayohusika na usalama wa mzigo wako.

BAADA YA SAA ZA KAZI: Madereva wetu ni watu huru. Maisha yao nje ya kazi ni yao wenyewe. Wanaweza kukutana na wateja, kuanzisha biashara za upande, kupata marafiki, au kuingia mahusiano yoyote wanayochagua โ€” hiyo ni haki yao ya kibinadamu. ZanSupply haitaingiliana na maisha yao ya kibinafsi.

ONYO: Biashara yoyote inayofanywa kati ya mteja na dereva nje ya mfumo wa ZanSupply โ€” baada ya saa za kazi โ€” inafanywa kwa hatari yao wenyewe. ZanSupply haitahusika na hasara, migogoro, au matatizo yanayotokana na makubaliano ya kibinafsi.
โš™๏ธ Mipangilio
โ„น๏ธ Maelezo ya App
App: ZANSUPPLY
Toleo: 1.0
Imetayarishwa na: O'Nkosi Productions Universe
Haki zote zimehifadhiwa ยฉ 2026
๐Ÿ’พ Hifadhi Kumbukumbu
โš ๏ธ Eneo Hatari
Hii itafuta kumbukumbu zote. Haiwezi kurudishwa.
๐Ÿ“… Kalenda ya Oda
J
P
I
T
A
S
S
Chagua siku kuona oda